skip to main |
skip to sidebar
International Criminal Court (ICC) imetoa kibali cha kukamatwa kwa Kanali Muammar Gaddafi kiongozi mkuu wa serikali ya Libya na wasaidizi wake wakuu kwa kile kilichodaiwa kutumia jeshi la nchi hiyo kushambulia wananchi waliokua wakiandamana kudai haki.Kibali hicho kina ambatanisha watuhumiwa wa karibu na wasaidizi wakuu kabisa wa Gaddafi akiwemo mtoto wake Saif al-Islam Gaddafi na mkuu wa usalama wa Libya bwana Abdullah al-Sanussi. Muammar Gaddafi
Saif al-Islam Gaddafi
Habari zaidi
http://www.bbc.co.uk/news/world-africa-13927208
0 comments:
Post a Comment