Thursday, September 8, 2011
ANASEMA MUACHE KUMCHAFUA!!!
Bila shaka ujumbe umefika japo lugha aliyotumia hajaitendea haki kwa Tanzania ninayo ijua, kuna Holly fu*k na f*ck & Sh*t. Sijajua ilikua hasira au njia mpya ya kufikisha ujumbe! Kikawaida hayo maneno ni makali ukizingatia hii video imekusudiwa kuwekwa hadharani via youtube. Well, is freedom of speech/expression lakini ujumbe ungefika vizuri kwa lugha nzuri na sio matusi.NI MTAZAMO TU WA KIBARAZA HIKI KWA DADA YETU NA PIA IWE CHANGAMOTO KWA CELEBS WENGINE MNAPO AMUA KUONGEA YANAYO WAHUSU!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment