Thursday, July 28, 2011
Monday, July 25, 2011
MADUKA YA BIDHAA FAKE ZA APPLE YAFUNGWA
Nilikua nashangaa pamoja na vitu vya Apple kuwa gharama lakini speed ya utumiaji imekua kubwa kutokana bei kua rahisi kwa baadhi ya vitu kumbe kuna Wachina walikua waki supply fake apple products kimya kimya huko Kunming city ambako serikali ya China imewashitukia na kufunga hayo maduka mara moja.
Sasa najiuliza hivi sisi tunashindwaje kuwa na serikali kama ya Wachina? Bidhaa fake kila mahala na mbaya zaidi zote ni imported na TBS tunayo!!!! Hapo hatujajua viwango vya bidhaa ambazo ni made in Tanzania!.Yaani nawaza tu kwa sauti bila kupata majibu wachina waliopo bongo wanauza tv na vitu vingine fake watafungiwa lini maduka yao? Sasa hivi ukinunua hata simu Guarantee unaambiwa ni 2 weeks!!. Wenzetu mfano hapa UK simu ina Guarantee kuanzia mwaka mmoja na vitu vingine miaka 3 na kuendelea na ni Made in China.Sasa inakuwaje Bongo iwe 2 weeks?

Kwa habari zaidi ingia HUMU
Thursday, July 21, 2011
ATI UTANI KWA WAHEHE....JE NI SAWA?
Ukiangalia kwa haraka unaonekana kama ni utani lakini ukitafakari huu ni uchokozi wa maksudi katika kubeza makabila.Leo katika blog ya rafiki yangu Mwanasosholojia nimekuta utani kuhusu kabila la Wahehe ambao si vibaya wasomaji wake tukafaidi na nikaona si vibaya na sisi hapa kuona mawili matatu.Kiukweli nimecheka sana japo sijaufurahia utani kama huu kwani unanigusa kiasi fulani na kinacho kera zaidi mtu ukimwambia unatoka Iringa cha kwanza kusema ni ''eeh nisikuuzi usije jinyonga bure'' au ''eheee kwahio unakula mbwa??''
Kiukweli sijui kama Wahehe wanakula mbwa maana sina ushahidi ila nasikia tu watu wakisema.Hua pia najiuliza kama wahehe ndio wanakula mbwa kwanini iwe wote watokao Iringa wahusishwe kubezwa kiasi hiki? Iringa kuna makabila mengi yakiwemo Wakinga,Wabena,Wahehe,Wapangwa n.k. No offense intended kama kuna mhehe unasoma hii habari labda niulize hivi kweli Wahehe mnakula mbwa?? Yaani hii chini ya mshale
Nataka kujua tu msini elewe vibaya!
Nataka kujua tu msini elewe vibaya!
Swala la kujinyonga (suicide) lipo kila mahali kwa makabila yote mpaka wazungu wanajinyonga sasa sijui nao ni Wahehe?.Mtazamo wangu hili linaweza kua la kihistoria zaidi ukizingatia aliyekua Chief wao Mkwawa alijinyonga ili asitiwe mikononi mwa Wajerumani akiwa hai.Lilikua jambo la kishujaa zaidi ambalo pengine ndio chimbuko la mwendelezo wa kujinyonga baina ya Wahehe kwani pengine ni ushujaa kufanya hivyo.Lakini mpaka sasa si Wahehe peke yao ndio wanajinyonga ni mtu yeyote bila kujali kabila anaweza jinyonga kwa sababu zake binafsi au kutokana na jamii inayomzunguka,matatizo n.k.Well ni mtazamo tu tujiunge na tangazo hapa chini kwa imani kua ni UCHESHI TU NA SI VINGINEVYO!!
TANGAZO KWA WAHEHE WOTE:
Chuo kipya kabisa cha Kihehe kimefunguliwa Kihesa, Iringa.(HEHE SKILLS AND TECHINICAL COLLEGE OF LIFE)Kinatangaza kozi za mwaka 2011/2012 kama ifuatavyo,1.Kugema ulanzi miezi 6
2.Kusokota kamba za kujinyonga miezi 9; 3.Kuchagua mbwa anaefaa kuliwa na mapishi yake miezi 8; 4.Kuongeza hasira miezi 10-12Atakae jiunga mapema atapewa kozi ya upishi wa Mkunungu pamoja na uoshaji wa Mbeta.

ASANTE KAKA MWANASOSHOLOJIA,KWA HABARI ZAIDI MTEMBELEE HAPA
Wednesday, July 20, 2011
RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO YA TANZANIA ATOA UFAFANUZI SWALA LA UMEME
KUSIKILIZA UFAFANUNUZI WA TATIZO LA UMEME TANZANIA KUTOKA KWA MHESHIMIWA RAIS MH JAKAYA MRISHO KIKWETE FATA LINK HAPO CHINI ALIVYO HOJIWA NA MWANDISHI WA BBC BWANA OMAR MUTASA.RAIS ANASISITIZA WATANZANIA MUWE NA SUBIRA SERIKALI INAFANYA JITAHADA KUBWA LAZIMA WATU WATAMBUE NA KAMA KUNA MTU ANA MAARIFA YA HARAKA KATIKA KUTOA UFUMBUZI WA UMEME BASI AYATOE SERIKALI ITAYAFANYIA KAZI.
ZAIDI SIKILIZA RAIS AKIFAFANUNUA KUHUSU UMEME KWA KUBONYEZA HAPA
ZAIDI SIKILIZA RAIS AKIFAFANUNUA KUHUSU UMEME KWA KUBONYEZA HAPA
KISONONO SASA HAINA TIBA!!!!!!!!
Kuna habari kuwa wana sayansi huko Japan wamegundua kuwepo kwa jamii ya gonorrhea (kisonono) ambayo haitibiki kwa dawa zote ambazo awali zilikua zikitibu gonjwa hilo.Jamii hio iliyopewa jina la H041 imewaacha madaktari midomo wazi kwani dawa zilizopendekezwa hazitibu tena na kuwafanya wajaribu kutumia dawa zingine ambazo hazikujaribiwa kutibu ugonjwa huo ili kutafuta suluhu ya ugonjwa huo ambao umedaiwa kua tishio jipya idara ya afya siku za usoni kama tiba haitapatikana.
Gonorrhea hapa Uingereza ni ugonjwa uliozagaa sana pamoja na Chlamydia (klamidia) ambayo yote ni magonjwa ya zinaa maarufu na umaarufu wake unakua siku hadi siku ukiumwa daktari hata hashangai!!.Magonjwa haya unaweza yapata kwa kufanya mapenzi bila kinga na muathirika.Kwa maana hio mambo ya kusema huniamini na blah blah kama hizo LAZIMA TUZIACHE VINGINEVYO HALI ITAKUA MBAYA NA HUO UTAKUA MKATABA WA MIONDOKO YA BATA WAKATI WA KUTEMBEA (usicheke ila ndivyo ilivyo ukiupata)
Kibaya zaidi ukishapata haya magonjwa uwezekano wa kupata HIV/AIDS na magonjwa mengi ya zinaa ni mkubwa.Na kujua kama umeupata inachukua siku 5 hadi 30 dalili ni pamoja na kusikia maumivu unapokojoa (kwa wanawake/wanaume), kutokwa usaha wa njano kwa wanawake na kuvimba korodani kwa wanaume.Aidha kwa wanawake wakati mwingine hakuna dalili yoyote ukiupata zaidi ya kua na uwezekano mkuwa wa kuharibika mimba mara kwa mara, kuzaa kabla ya siku au ugumba wakati kwa wanaume inaweza pelekea kansa ya kibofu (prostate cancer).
Kwahio tucheze salama ndugu zangu!
Zaidi kwa lugha ya kiingereza soma HAPA na HAPA

Tuesday, July 19, 2011
Sunday, July 10, 2011
NILICHOGUNDUA:UDANGANYIFU SIMU ZA MIKONONI
Baadhi ya hii mitandao ya simu za mikononi na nyumbani ni wezi kuliko tunavojua,hivi inawezekanaje unipigie simu na kuacha ujumbe wa promotion za kampuni nizisikilize kwa gharama zangu? As if hio promotion ni lazima kuisikiliza!! yaani usipo pokea simu wakipiga wanakuachia ujumbe wa sauti ambao kuusikiliza unakatwa salio.Hata hivyo wanaotupigia simu toka nyumbani bongo tunashukuru kutupigia ila kama mtu hapokei acha ujumbe.Unakuta mtu kaacha voicemail hajaongea chochote wakati mie nasikiliza hio voicemail na nakatwa salio.
Anyways tuache hio mimi binafsi ni Tomaso haswaa na nimejaribu kutumia mitandao mingi kwa kufuata masharti ya mtandao wa simu nikitaka kupiga simu bongo lakini ukweli ni kwamba matangazo tunayo ona ni tofauti na hali halisi mfano juzi juzi nimejiunga na mtandao mmoja hapa Uingereza matangazo yao ni kwamba ukipiga Tanzania ni pence 1 kwa dakika nimetumia pound 5 na simu imekata chini ya dakika 25!!!. Leo tarehe 11,July 2011 nimekutana na Tangazo la kampuni hio hio linasema kupiga simu Tanzania ni 10 pence kwa dakika nikafungua ukurasa wao kuhakiki ukweli nilichokuta sikuamini macho yangu DAKIKA 1 NI PENCE 19 NA SIO 10!!!.
Tangazo lao la leo
Kwa mujibu wa tangazo lao la kwanza kama kupiga simu Tanzania ni pence moja kwa dakika inamaana nilitakiwa kupata dakika 500 kwani Pound 5 ni sawa na pence 500 sasa nikawa najiuliza mbona imekata mapema? Nilichogundua ni kwamba dakika moja wanakata pence 20 na sio penny 1 kama tangazo linavyosema ..hio 20 ukiizidisha na dakika 25 unapata pence 500. Ina maana kama sasa imekua 10 pence kwa dakika basi ni dakika 50 kupiga Tanzania kwa Pound 5. Ila tangazo linakinzana na ukweli kwa maana ya viwango walivyopanga ukipiga simu Tanzania. kwa wale tunaopenda kupiga simu bongo kua makini na hii
Ukienda kwenye mtandao wao kuona bei halisi unakuta habari tofauti angalia mwenyewe hapo chini
READ MORE

PAYG Rates
International PAYG Rates
Select your destination to check the rates.
| Destination | |
| Rates | |
|---|---|
| Landlines | 5 pence per minute |
| Mobiles | 19 pence per minute |
| SMS | 10 pence |
Subscribe to:
Posts (Atom)