Sunday, September 25, 2011
JUMAPILI NJEMA ....
Bojo Mujo-Marry me
Theo-Ukhona
Ice Prince-super star
D'Banj-Oliver Twist
Wiz Kid-Tease me
Thursday, September 22, 2011
WAASI LIBYA WAUA FAMILIA WALIYODHANI YA GADDAFI
Waasi nchini Libya wameua watu wanne wakidhani ni familia ya Gaddafi kutokana majina yao ya ukoo kua GADDAFI.Familia hio ambayo ilikua mbioni kuhamia Uingereza kwa usalama zaidi ilikumbana na dhahma hilo saa chache baada ya safari yao kuanza huko Libya.Msemaji wa familia hio akiongea kwa masikitiko makubwa amesema familia hio haina uhusiano wowote na Muammar Gaddafi.Lakini kwakua walijua majina yao yangeweza waponza na kuamua kuondoka bila kufanikiwa mpaka mauti yalipowafika.
Zaidi soma HAPA
Zaidi soma HAPA
Wednesday, September 21, 2011
Wednesday, September 14, 2011
MABADIRIKO TAREHE YA HARAMBEE KUCHANGIA MAAFA ZANZIBAR KWA WATANZANIA UK
Kutokana na sababu zisizoweza kuzuilika Jumuiya ya Watanzania nchini Uingereza TANZ- UK inawaomba radhi wanajumuiya na watanzania wote kuwa shughuli za fund-RaƬsing zilizokuwa zifanyike katika ubalozi wetu london siku ya jumamosi tarehe 17 septemba 2011 saa nane mchana zimeahirishwa.
Taarifa zaidi zitawafikia hapo baadaye, tutawajulisha punde tu tutakapo pata habari kamili. Tafadhali mjulishe na mwenzako
ASANTENI
MWENYEKITI,
TANZ-UK
Subscribe to:
Posts (Atom)


