Sunday, August 5, 2012

Baby j feat Alikiba Bwashee G Records


Saturday, August 4, 2012

KISA CHA MSICHANA ALIYESAMBAZA UKIMWI MAKUSUDI

Nimeona si vibaya wasomaji wangu mkaipata hii habari japo imepita muda lakini HIV/AIDS bado tunayo katika jamii na mtu kama huyu ni mfano tu.Ni wazi kua japo ni siri kubwa lakini kuna watu wenye magonjwa kama huyu dada wanaojua ni wagonjwa (mabibi kwa mabwana) wanaambukiza wengine kwa maksudi.Baadhi yetu tunawajua ila tuna kaa kimya na kuona kama haituhusu, lakini ukweli ni kwamba inatuhusu sana maana ile ni 'chain' tu hata wewe unaweza pata UKIMWI kupitia mtu huyohuyo unaysema hakuhusu.Naomba nieleweke kua wale wanaowajua wathirika na wanasambaza virusi vya 'UKIMWI'  kwa makusudi walipotiwe kwenye vyombo vya dola ili wachukuliwe hatua za kisheria kwani si ustarabu.


Kusoma kisa kilichonifanya niandike haya  bofya HAPA

ETI MBONA HUKUI KULIKONI?


Monday, June 4, 2012

Latest News - Diesel Vs Petrol


Diesel engines used to be noisy, smelly and somewhat agricultural. Then car makers wised up, made the engines cleaner, more powerful and refined, and with diesel cheaper than petrol at the pumps, the fuel suddenly became more viable. Not for long. With the Chancellor making diesel pricier than petrol, choosing between the two fuel forms is now no longer as clear cut.

If it was purely down to miles per gallon, diesel would win. Easily. A Ford Fiesta 1.4 TDCi returns a quoted Combined consumption of 69mpg. The petrol equivalent of the same capacity does 49mpg.

But petrol hits back with the model’s purchase-price advantage. The petrol Fiesta in three-door Edge trim would set you back £12,195. The diesel version costs £12,995. And the difference isn’t going to get smaller. Ford Powertrain’s director Andrew Fraser explains: “Diesel engines are getting more expensive to build due to increased legislation. Last year a diesel particulate filter (DPF) had to be fitted, which required an injection upgrade. In 2015, they’ll have to abide by Euro VI emissions standards, so most diesel engines will need a Nitrogen Oxide trap. It’ll all add up to making the payback period for diesel longer.”

The addition of DPFs in particular has been contentious. Vanessa Guyll from the AA’s technical services says: “The DPF and exhaust gas recirculation mean diesels really aren’t viable for short journeys and town work. The DPF doesn’t get hot enough to clear itself out. We get called to about 700 breakdowns a month for blocked DPFs.

“For anyone who potters around town and doesn’t do journeys that are a minimum of 10 miles we wouldn’t advise a diesel. Any savings owners might make on road tax would be quickly wiped out by fixing problems with the emissions equipment if usage isn’t suitable.”



 Wewe unasemaje?

Saturday, April 28, 2012

MATANGAZO YALIYOSHAMIRI MAGAZETINI NA KWENYE MABANGO MITAANI


                                            Eti mafanikio siku 3, hivi hii imekaaje?

Thursday, April 19, 2012

MZEE WA VIJISENTI WA NIGERIA AFUNGWA MIAKA 13

Gavana wa zamani wa moja ya majimbo tajiri Nigeria, (Delta State) bwana James Ibori afungwa miaka 13 jela.Bwana Ibori alikamatwa mwaka 2010 Dubai kwa makosa ya kujipatia mamilioni kwa njia ya udanganyifu.Mheshimiwa huyo wa ugavana jimbo tajwa kwa miaka ya 1997-2007 baada ya kukamatwa alipelekwa nchini Uingereza ambako alikua ameweka baadhi ya pesa na kununua majumba ya kifahari kwa mahojiano zaidi na polisi mpaka kufikia uamuzi huo wa kufungwa miaka 13 baada ya kuthibitika.Sambamba na hilo mheshimiwa atafilisiwa kwa maslahi ya taifa hilo kubwa kabisa balani Afrika,hususani Afrika Magharibi.


Jeshi la polisi nchini Uingereza lilishangazwa na manunuzi ya gavana ambaye inasemekana mshahara wake ni 4000£= 10Million za  Ki Tanzania kununua nyumba moja kwa gharama ya 2.2 million pounds sawa ma takribani Billion 2 na nusu za kitanzania, pia alinunua nyumba nyingine kwa  £ 311,000 (UK), pia kanunua mansion South Africa kwa £3.2Million, Magari kadhaa aina ya Range Rovers kwa £600,000, Gari aina ya Bentley £120,000, Mercedes Maybach kwa Euro 407,000.


Kweli Africa raha huyu ni kiongozi mmoja tu!! Je serikali zetu zina pesa kiasi gani? (TAFAKARI......!!!!!)


Kwa habari zaidi soma HAPA

Tuesday, April 10, 2012

KUMBE POLISI NAO HUIBIWA!!!

Habari toka majuu (Kwa Malikia/UK aka Ukerewe) zinasema maelfu ya pauni za Uingereza aka Great Britain Pound (GBP) yaliyokua mikononi mwa polisi yaibiwa. Pesa hizo ni zile ambazo zilikamatwa kutokana na upatikanaji wake kuhusisha njia ya udanganyifu na kuhifadhiwa katika ghala yenye ulinzi mkali katika kituo kimoja cha polisi wakati uchunguzi zaidi ukiendelea. Watu watatu walitiwa hatiani kuhusishwa na sakata hilo.Hata hivyo pesa hizo kiasi cha 113,000£ zapotea katika mazingira ya kutatanisha.Uchunguzi unaendelea na hakuna polisi wala raia aliyetiwa hatiani kutokana na upotevu huo..Inashangaza eti pesa ikaibiwa kituo cha polisi!!.Hivi polisi hazina bank accounts?.Kweli Duniani kuna mambo!!

Kwa habari zaidi soma HAPA